Rafiki wa Girlfriend wangu ananichukia

Rafiki wa Girlfriend wangu ananichukia

haya sie tunaongea na wewe dalali wake, huyo dem wake anajua hayo mawasiliano kati yao?

Hebu jaribu kumsaidia huyu kaka yangu! Hivi kwa siku mwanamke mzuri anasumbuliwa na wanaume wangapi? Naomba ujaribu kumweleza ili asione aibu (mpaka kusingizia ati ni rafiki yake!!!) kwa ex wa huyo shemeji yangu kujaribu kete upya. Mwamuzi ni mwananke tu. Hata na mimi akiingia anga zangu natia neno ... who knows naweza angalau mara moja nikajongea kwenye karamu ya bwana kiulaini-yote maisha hapa Njinjo
 
Najua ni vigum kueleweka lakini jamani ata mimi yamenishida thsy nikaweka uzi huu hapa ili mnisaidie hajabu sasa mnalaum eti kuna kitu kinaendelea kati yetu, salt kama kuna kinachoendelea baina yetu ningeanika lakn hatujawah ata kutongozana.

we si umesema unawasilisha kwa niaba? mbona hapa unajijibia mwenyewe?
 
alijua upo handsome sana alivokuona akawa contridicted kichwan
 
Alitegemea wakati unakuja Tabora ungeomba game lakini ulivofika ukawa na mchumba wako tu. Hii kuwasiliana bila mchumba wako kujua alitegemea siku moja ungeingiza timu lakini sasa haoni haja ya kuendeleza mawasiliano naana alichokitegemea hajakipata.
 
Kwani alikuambia anakutaka wewe mpaka uwe na hofu kiasi hicho?

Inawezekana una sura ya kutisha na baada tu ya kukuona akasitisha mawasiliano.
 
weee ndio hovyooo! dalili zote zinaonyesha anataka game...umeenda Tabora bla kumtengea muda wake maalum ili mmalizane kwa roho saaafi... we unakuwa busy na mchumba wako tu, yeye kwani ukimpigia mashuti ya mbali hataridhika..andika romantic sms tuone kama hatajibu! au tumia namba ngeni ongea kiromantic mfno "mbona unanifanyia hivyo..!? Unanitesa mtoto wa mwenzio!!? sauti yako siipati tena?" kwa saut ya upole kabisa na akikujibu huku akishutumu sauti si unaipata kwa mchumba wko hku akionesha wazi hakufurhia hilo bsi ujue unatakiwa kuomba game MFURAHIANE na itakuwa peace kati yenu HERI ss tuliooa hatupaswi kufanya hivyo HILA kwa ww..! maliza tu.
 
Back
Top Bottom