Rafiki wa Ex wangu ananitongoza

huu mwaka tutauziwa vingi sana....hata kama unachomoa kiasi gani utaitwa ununue aidha umependa au vinginevyo..
 
Siyo mtoto, ila nimeshangaa tu maana ni mtu ambaye tulikua tunaheshimiana naye.
hana hata kusubiri muda kidogo upite tokea mahusiano na rafiki yake yavunjike.
Sasa si umwambie ndiyo au hapana
 
Jirani unamponza mtoto, Baada ya miaka miwili mitatu mtu atatamani abadili I'd😄😄😄

Si unajuaga lakini wafukua makaburi tulivyo makini. Lamomy
Jirani akamatie goma hilo asipoteze muda, atawekwa uchumba sugu halafu ndoa anapata mwingine..!!

Hakuna cha ushemeji apite naye..!!! 😹😹😹
 
Ole wake mtu aseme mimi ni Binti Sayuni03 au kadogo2 au aniite mwanaume.
Utaiona side nyingine ya mabinti wa kisukuma.
😂😂😂 kumbe ushapewa na jina langu

Watu wa jf ni wapiga ramli sasa ubaya ramli zao huwa chonganishi wazoee

Halafu nitafutie kijana wa kisukuma huko kwenu ila asiwe msabato… awe mweusi tii nawakubali sana wasukuma sema wachawi kinoma
 



Mimi simuamini na bado siko tayari kwa mahusiano ila kama ni wewe, ungefanyaje?

UNAELEKEA QIBRA WEWE!!!
 
Jirani akamatie goma hilo asipoteze muda, atawekwa uchumba sugu halafu ndoa anapata mwingine..!!

Hakuna cha ushemeji apite naye..!!! 😹😹😹
Hahahahaaa 😄😄😄😄,. We mponze tu mwenzio
Ataliwa na kurekodiwa hata amini, kwanza anawez aliwe mtungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…