Rafiki wa Ex wangu ananitongoza

Acha mawasiliano naye huyo mshenzi kabisa anataka akutafune akuache hakuna mapenzi hapo
 
Ndipo hapo mimi napatiaga madhaifu ya wanawake wanjanja janja kama wewe na kupandisha jaziba kujitwalia ushindi kwa goli rahisi kabisa la mkono.!

Labda nikuulize, wewe kutongozwa unakuchukulia kama ni udhalilishaji au ni jinai nyingine ambayo umefanyiwa?

Kosa la shemeji yako liko wapi hadi kumburuza Jf?

Kuna kinship yoyote ya kibaiolojia kuweza kusema ni maharimu wako?

Kutongoza ni sanaa ambayo inatakiwa imalizwe kisanii pia na haitakiwi kulaumiana.

Hauna mbinu yoyote ya kupiga chini wakware na mkabakia na mahusiano yenu ya zamani?

Ila ingelikuwa ni mimi ndiye huyo shemeji yako, lazima shemeji ningekulala.

Nina mbinu halali, nusu halali na haramu ambazo huzitumia kunasia wanawake wanaojifanya wagumu wakati kiuhalisia ni wepesi kuliko tissue paper.

Na nikiishatekeleza dhamira yangu, huishia kunyoosha mikono juu na kumuomba Mungu anihurumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…