GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Wewe ni emptybrain
Iko wazi na inajulikana urafiki wa Besigye na Slaa, sasa hapo cha ajabu nini? Poleni sana CDM kwa msiba mwingine huo
modified Brain
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na Dkt. Slaa , ambae pia kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania uliopita alishindwa vibaya na Dkt. Kikwete.
Hili ni pigo kubwa kwa CHADEMA kwani inawakumbushia machungu ya wao kushindwa kwenye uchaguzi uliopita na hivyo basi vilio na majonzi vimewakumba tena wafuasi na wanachama wa CDM.
Mataputapu ya jana uliyokunywa bado yanakuzengua. Upuuzi mtupu
Msipoteza mda wenu kujibishana na emptybrain