najua mtakuwa na mtazamo tofauti juu ya hii wana jf nipeni mtazamo wenu juu ya hili mfano wewe umepata rafiki katika mtandao kwa mfana facebook nk kiasi kwamba hamuwezi kukosana hata siku moja lakini inafika siku unamuliza hali anakuja kujibu siku ya pili wakati unamuona online zaidi ya ya masaa 4 na hali inakwenda hivyo mpaka unamuliza vp cku iz mbona upo hivyo anakwambia network wangu inasumbua wakati online unamkuta zaidi ya masaa 4