bigmind,
Amiiin!!! Hongera Mkuu naamini umechagua chaguo lililo bora zaidi japo maugomvi ni ngumu kuyazuia cha zaidi ni kuomba yawe ni yale yanayotatulika.
Na kweli usemalo huwa ni ngumu kuzicontrol hizo hasira lakini inafaa sana kufanya maamuzi hasira ikiwa ishaisha mana hicho ndio kinachoharibu mambo siku zote.
Kisa chako kama cha mke wa jamaa kaondoka na kila kitu hadi sufuria za kupikia jamaa kanza kununua upya hadi vikombe. Baada ya muda mke anarudi kuomba arudi tena. Hawa viumbe aliewaumba nafikiri kuna kitu alipunguza wakati wa kumix material za uumbaji.
Naogopa sana. Mume au mke anakuwa mbaya ukiwa naye ndani. Ondoka sasa ndio utajua umuhimu wake. Hakuna mdoa iliyo rahisi ni kuchukuliana tuu na zaidi kuwa makini na unayoambiwa na mashost.