Rafiki alivyoniponza

Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe..kaombe msamaha..ukikataliwa usichukie umelikoroga jiandae kulinywa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wafupi mnamatatizo hasira zako za wivu zlikugharimu pole, usipende kusikiliza maneno ya marafiki
burners,
 
Mmh nyie wanawake si huwa mnaambiwa kuwa ni jeshi kubwa vipi jeshi gani hilo huwa wanauana wenyewe???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha muhimu hapo ni kuhakikisha tu unapambana na hali yako kwa hali na mali
 
Mkijifanya mnamwaga mboga sisi tunamwaga kweli mpk ugali
Saa nyingine muwe munaangalia, sababu hapo hata kama huyo mwanamke hakuwa na uhakika inapaswa uchukulie chanzo cha yote ni hasira Mkuu.

Sababu unadhania asingemkuta huyo mwanaume angefungasha hiyo mizigo na kuondoka?
 
yani muishi na sisi kwa uangalifu. Ukiletaa hasira tuu sisi tunà reply mara 10 yake
Saa nyingine muwe munaangalia, sababu hapo hata kama huyo mwanamke hakuwa na uhakika inapaswa uchukulie chanzo cha yote ni hasira Mkuu.

Sababu unadhania asingemkuta huyo mwanaume angefungasha hiyo mizigo na kuondoka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…