Rafiki alieleta zegwee maskani!

Yaani pamoja na ujanja wangu wote wa mjini na hii nusu karne yangu niliyonayo hapa duniani,nimetoka kapa.
Labda nimuite best yangu mtoto wa mjini mwenzangu mrangi anaweza kunifafanulia.
Nacheka kama mazuri [emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]
 
Life is about trying and error unapo kosea ndipo unapo jifunza mkuu.
First of all ukijiunga na site yoyote Ile ya online before huja comment au kuanzisha topic make sure unajipa all most week 2 za namna ya kujifunza jinsi ya kuweza kuendana na site hiyo

Btw hongera Kwa kukubali udhaifu wako ,
 
Aiseee [emoji848]

I prefer to say this, matumizi ya bangi haya paswi kuruhusiwa nchini ,

Imagine hapa ndio bangi Bado haija ruhusiwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nashukuru kwa maoni yako[emoji1488]
 
Issues sio lugha iliyo tumika tu , content nzima haieleweki lengo lake ni Nini !?

Yaani simulizi haina mbele Wala nyuma
 
Nimeangalia jina la mtoa mada
Halafu amejiunga lini
Nikafata comments
Mwenye aliesoma thread naomba summary
 
Hivi hili neno meme limekua msamiati mpya nyie vijana... Kuna kitoto nilichukua namba katika kuchati kinaandika meme badala ya mimi... nimekiacha kwa kweli.

[emoji38][emoji38][emoji38]kisa meme tuu umekaacha mkuu sio vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…