Rafiki alieleta zegwee maskani!

Kwa Kifupi asilimia 98 ya watumiaji wa mitandao ambao wako Active sana kwa sasa ni vijana waliozaliwa kuanzia miaka ya 2000.Huu ni utafiti wangu mdogo Kwa hiyo utegemee uandishi wa namna hii na mambo mengine ya Hovyo. Shortly they were not born to be serious
 
Jamani tusimsimange mdogo wetu,hizi lugha za kirafiki zinafahamika.Embu tujikite kwenye uzi basi!(mbona hata sisi tunaandika kiswa-nglish ktk post zetu??)

Kijana nimependa hitimisho lako,
Tunapelekwa shule kujifunza western culture,on the same tuishi kiafrika!
1.Shuleni unafundishwa kilimo cha mkono siyo dili,rudi kwa wazee uwambie hivo!!
2.Unaambiwa usitumie kuni na mkaa kupikia,rudi nyumbani uyaseme!
3.Unaambiwa usichaguliwe mchumba (Rejea kitabu "three suitors one husband") ukija nyumbani eti kuna mtoto tunamfahamu OA huyo!
Yapo mengi sana ya ajabu!

Kisa hiki kiamshe haja zetu tulizonazo za kudai mtaala mpya utakaoendana na matakwa yetu(according to our living)

Ila kijana wa chuo inakuwaje kiswahili kinakuletea changamoto kukiandika kwa usahihi,ukiacha yale maneno ya swaga.
Mfano "nika mpeleka" badala ya nikampelea.Kuna maneno ambayo huambatana na viambishi/vitenzi saidizi vyake hutakiwi kuyatenganisha!
 
Hivi hili neno meme limekua msamiati mpya nyie vijana... Kuna kitoto nilichukua namba katika kuchati kinaandika meme badala ya mimi... nimekiacha kwa kweli.
 
Nashukuru mkuu kwa maoni yako
 
Nashukuru mkuu nimeona wapi nimekosea[emoji1488]
 
sijui nikelele za majirani ndio zinanifanya nisielewe au vp nipe summary
 
Aiseee [emoji848]

I prefer to say this, matumizi ya bangi haya paswi kuruhusiwa nchini ,

Imagine hapa ndio bangi Bado haija ruhusiwa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…