Radio za National

bendi ngapi hiyo mkuu??? halafu katika kasha lake la nyuma kuna maandishi "dudu proof" kisa kuna waya wa kuzuia mende. umeshaona hiyo mkuu halafu zililetwa enzi za RTC
 
Wakuu, hii Radio ilikuwa BENDI 8

Mtaa Mzima wanajuwa kama Baba yako anayo

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…