Nilijua tu wewe wa singidaZa dodoma nazo hazisikiki singida. Kuna redio inaitwa kicheko ya moshi na nyingine inaitwa safina ya arusha imeongezeka nyingine inaitwa habari maalum ndio zinasikika singida. Yaani redio za mikoa jirani hazisikiki kabisa. Singida kuna redio moja tu inaitwa standard, uzuri redio zote kubwa za dar na mwanza moja zinasikika singida ila si mkoa wote, kuna maeneo redio hazisikiki kabisa
Mtihani, sijui TCRA wapo kazini au!?Za dodoma nazo hazisikiki singida. Kuna redio inaitwa kicheko ya moshi na nyingine inaitwa safina ya arusha imeongezeka nyingine inaitwa habari maalum ndio zinasikika singida. Yaani redio za mikoa jirani hazisikiki kabisa. Singida kuna redio moja tu inaitwa standard, uzuri redio zote kubwa za dar na mwanza moja zinasikika singida ila si mkoa wote, kuna maeneo redio hazisikiki kabisa
dada unajidanganyaNilijua tu wewe wa singida