Lakini pia na wasanii na washabiki wao naona kama wana imani kwamba "bila wao hakuna maisha"..ukishakuwa na kitu kama hicho kichwani tayari umeshashindwa...ila na wenyewe (hiyo radio) kama wameingia mgogoro na msanii na baadae ameomba msamaha na kuamua kupiga nyimbo zake waepuke kufukua makaburi maana juzi kati nimeona youtube msanii Ruby anabananishwa maswali mpaka aonekane kwamba alikosea
Kwan bongo kuna radio ngap? Si muende huko kwingne kwanini mkimbilie clouds. Mi naona sometimes ni ujinga, inakuaje mtu unapiga kelele eti mlimani city vitu bei mbaya wakat maduka yapo tu mengi mjini hapa ila shobo zako mwenyew ndio unakimbilia mlimani city.
Redio haijengwi kwa siku moja hacheni upuuzi ni kweli clauds ina mapungufu yake lakini msiifananishe na vitu vya ajabuajabu iyo wasafi inasikika wapi mpaka muanze kuilinganisha na redio yenye zaidi ya miaka 10