radio ,tv na maadili yetu.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

radio ,tv na maadili yetu....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Boss, Sep 22, 2009.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Sep 22, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hivi mnalionaje suala la maadili na vyombo vya habari?????
  mi naona kadri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaaya.
  sasa kuna vipindi vya redio,hasa vya taarabu,matusi imekuwa kawaida..
  kwenye tv ndo usiseme,
  halafu utamaduni wetu wa kitanzania unapotea taratibu,unaweza
  sikiliza radio ukakuta ni habari za USA kama vile tupo USA.hasa kwenye entertainment....
  TBC nao wanarusha vipindi vya MTV,,,,,,,
  HIVI hakuna mtu anaehusika na national culture kabisa??????????
   
Loading...