Wana jamvi poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
Asante sana Nasakadoo
Nakushauri upate jina la kizalendo yani la kiswahili achana na haya maredio yenye majina ya kingereza wakati 100% ya matangazo yake ni kiswahili!napendekeza iitwe YETU FM
Hongera sana kwa kuiona fursa na kuichangamkia. Kuhusu jina, DATOGA-FM naona limekaa poa pia.
Acha kujipendekeza kwa YENU? wakati hata senti hujatoa
Binafsi ningeshauri uiite jina la wilaya iliyomo. Mfano, Kilosa Fm, Mikumi fm,au Mvomero Fm.
Au Iite Pride Radio, Sauti Radio, City Fm Radio, na Radio Star Fm....
nimeishia hapo
Dah!we jamaa utakuwa mfuasi wa Rungwe tu si bure!
Jina la kituo cha redio inategemea na kusudi kuu la redio hiyo. Unapenda redio iwe ya mchepuo gani; dini, michezo, movie, au mambo yote kwa ujumla kama ambavyo karibu vituo vingi vipo hivyo? Pamoja na kuwa kituo kitarusha matangazo kwa ujumla, bado unaweza kusisitizia eneo kuu km elimu, sayansi, nkWana jamvi poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
ukipata jina niite nije sound engineer