kwahiyo radio one bwana wao mengi na wewe bwana ako manji?......tumewasoma bibie yahoo na bibie radio one!Kwanini mnapigia kampeni*za waziwazi*mpinzani *wa Yusuf Manji kwenye uchaguzi wa Yanga bw.John jembele,au ndo *mmetumwa na bwana wenu (mengi) mumkandie mani ili ashindwe uchaguzi?....Mtazodoka matokeo ya uchaguzi yatakawekwa hadharani *Yusuf manji "abromovic" akiibuka mbabe:mimba:
Umesikia wanavotangaza...kwamba kwenye uenyekiti wagombea ni wawili tu! *Wamepigwa marufuku kutaja jina la manji redioni sijui manji akishinda watatangazaje kipindi cha michezo bla kutaja jina lake