Radio ndani ya window 8

Radio ndani ya window 8

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
644
Jaman wadau nackia kwenye window 8 kna radio unaweza ckiliza za ndan au za njee ila cjajua naipataje o msaada tafadhar wakuu
 
mkuu ulishawahi sikia windows ina radio....? mimi ni analogia ila nakwambia unaposikia online radios hazihusiani na OS ili mradi uwe na bando. kama unatumia browser kama torch utaona link ya online radios...kama unataka kusikiliza za kibongo east afrika ndo ipo hewani muda wote...nyingine zina mda muda...ili kusikiliza uta install plug in zake kwanza
 
Back
Top Bottom