Radio imaan

Radio imaan

Status
Not open for further replies.

jamessungo

Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
71
Reaction score
29
Kwa wale wapenz wa radio imaan hebu tune usikie siasa chambuz kuhusu mwalim nyerere na muungano
 
Hawa jamaa wanachambua vizuri sana chambuzi zao

Ukiwa kijijini mbali kabisa na mji ambako hamna shule na wewe ndio angalau uliishia form II ukapata maneno mawili matatu ya Kiingereza, basi kila utakachokisema kwa Kiingereza chako cha hovyo, kwao itakuwa sawa na bora
jamessungo : I will went to town tumoro yestadei

Wanakijiji: Anaongea 'kingeleza' safi huyu jamaa msomi sana

Nachotaka ukwambia hapa ni kwamba, unayo kila sababu ya kuona weledi kwenye uchambuzi wa Radio Imaan na hiyo ni kutokana na uwezo wako wa ulinganishaji. Lkn siku ukielimika ukapata ufahamu, hakika utatapika mara utakapofungulia Radio Imaan
 
Last edited by a moderator:
Kama wanaweza kuichambua serikali ilioko madarakani na kuishauri vizuri juu ya utawala bora na Tanzania tuitakayo ingekuwa heri.

Wao na Nyerere, wao na historia kila siku, dunia inahamia dijitali wao wanaendelea na analojia. sio kosa kuirejerea hitoria lakin kwa kiwango gani na lazima tuangalie tumesimama vipi sio walisimama vipi, wao hawakuanguka (akina nyerere, kawawa nk) lakini sisi kama tumesimama vibaya tutaanguka.
 
wao kutwaaaaaa kumuongelea nyerere! hawana lingine la kudiscuss. huko aliko nyerere wala hajishughulishi nao. lakini wao kulala na kula nyerere! shame on them!
 
Anzisha discussion, otherwise shame on wewe pia, cacico.
 
Last edited by a moderator:
Ukiwa kijijini mbali kabisa na mji ambako hamna shule na wewe ndio angalau uliishia form II ukapata maneno mawili matatu ya Kiingereza, basi kila utakachokisema kwa Kiingereza chako cha hovyo, kwao itakuwa sawa na bora
jamessungo : I will went to town tumoro yestadei

Wanakijiji: Anaongea 'kingeleza' safi huyu jamaa msomi sana

Nachotaka ukwambia hapa ni kwamba, unayo kila sababu ya kuona weledi kwenye uchambuzi wa Radio Imaan na hiyo ni kutokana na uwezo wako wa ulinganishaji. Lkn siku ukielimika ukapata ufahamu, hakika utatapika mara utakapofungulia Radio Imaan

Nakujua huwapendi sababu wewe ni kati ya wale wanaomchukulia Nyerere kama MUNGU wenu na mifano yako ya Dr Shukuru wa Bagamoyo hiyo isio na mantiki !

Kwa ID yako tu, Unatamani ifungwe hata kabla ya saa 6 mchana huu ! Sikiliza Radio Maria wanaoendelea na mchakato wa kumfanya binadamu aliyezaliwa na kuua watu na kudhulumu na kila aina ya USHENZI kuwa MTAKATIFU / MWENYE HERI na mambo yao kibao lakini hawawezi kumpangia MUNGU adhabu ya kumpatia huyo Kikongwee

UDINI unao uona sasa hivi hapa Tanganyika , huyo Mzee Nyerere ndio muasisi wake ! Somaaa sanaaa uujue ukweli, Materials haya yapo sio kama Mtaala wa Kawambwaa ambao sio tangible hivi vitu vyenyewee vipo sanaa
 
Last edited by a moderator:
Yani nimesikitishwa sana na uchambuzi kikubwa wakifanyacho ni kuponda wakristo na ukristo pamoja na Nyerere.

Kibaya zaidi wachambuzi ktk kipindi hicho ni wahadhiri wa chuo kikuu cha kiislamu moro
 
mwanakungumbala, great thinker wa leo! Ni vipi utachambua bila kusikiliza mwenyewe? Hatari sana kuchambua ya kusimuliwa.
Kuchambua kwa maana ya ku-analyze.
Mkuu kwa ujumla redio zinazoongea upuuzi huwa sina muda wa kusikiliza na siwezi kuchambua kwa sababu siyo mdau wa kusikiliza nasikiliza redio zenye watangazaji wanaofuata maadili ya kazi
 
Haya ni matatizo yenu ya kutaka kushughulikia watu badala ya vitu vinavyowakwaza kuendelea katika maisha.Huyo kapita kaenda zake.Kama alikosea kwa nini msichambue kurekebisha hali hiyo?Au mnataka kuendelea kufanya makosa yao?Huyo Mwalimu alishasema serikali yake ilifanya mema na mabaya tena ya kijinga.Sasa badala ya nyie kushughulikia mema mnaanza kushughulikia mambo ya kijinga.Hili nalo la udini ni kushughulikia mambo ya kijinga.
 
Nakujua huwapendi sababu wewe ni kati ya wale wanaomchukulia Nyerere kama MUNGU wenu na mifano yako ya Dr Shukuru wa Bagamoyo hiyo isio na mantiki !

Hunijui wala hunifahamu, ungekuwa unanijua basi usingethubutu kufikiri kuwa ninaweza kuamini kuwa Nyerere anaweza kuwa Mungu. Wanaonijua mimi wanajua kuwa ninaye Mungu, naye ni mmoja, naye ni Yahwe. Kwa hiyo wewe hunijui.

Kwa ID yako tu, Unatamani ifungwe hata kabla ya saa 6 mchana huu ! Sikiliza Radio Maria wanaoendelea na mchakato wa kumfanya binadamu aliyezaliwa na kuua watu na kudhulumu na kila aina ya USHENZI kuwa MTAKATIFU / MWENYE HERI na mambo yao kibao lakini hawawezi kumpangia MUNGU adhabu ya kumpatia huyo Kikongwee

Mbona wewe mzito sana kiakili ndugu yangu. Hebu rudi kwenye nilichoandika mimi, halafu angalia unachoandika wewe. Angalia na unioneshe hata sehemu moja kwenye post yangu ambako mimi nimemtaja Nyerere. Huu ni ushahidi kwamba akili zenu (wewe na redio imanika wenzako) mnaugua Nyerere Fever.

Hapo kwenye bold sina hakika unamzungumzia nani; KUUA, KUDHULUMU, KUOA MTOTO WA MIAKA 6, KUPORA MALI ZA WAFANYABIASHARA......Nyerere...I doubt, una shida ya network.

UDINI unao uona sasa hivi hapa Tanganyika , huyo Mzee Nyerere ndio muasisi wake ! Somaaa sanaaa uujue ukweli, Materials haya yapo sio kama Mtaala wa Kawambwaa ambao sio tangible hivi vitu vyenyewee vipo sanaa

Nashukuru ni wewe ndie umepata ujasiri wa kumkosoa Askofu Shukuru Kawambwa. Lakini kila anayesoma na awe makini na wewe kwani na ID yako (km ilivyo yangu) ina shabihi jambo. FIX tupu na blah blah!
 
wao kutwaaaaaa kumuongelea nyerere! hawana lingine la kudiscuss. huko aliko nyerere wala hajishughulishi nao. lakini wao kulala na kula nyerere! shame on them!

Jamani muwe mnaangalia na watu wenyewe, shule muhimu sana, imagine wakiacha kumjadili nyerere wataongelea habari gani hao...!!??? let them go on bhana...
 
Nakujua huwapendi sababu wewe ni kati ya wale wanaomchukulia Nyerere kama MUNGU wenu na mifano yako ya Dr Shukuru wa Bagamoyo hiyo isio na mantiki !

Kwa ID yako tu, Unatamani ifungwe hata kabla ya saa 6 mchana huu ! Sikiliza Radio Maria wanaoendelea na mchakato wa kumfanya binadamu aliyezaliwa na kuua watu na kudhulumu na kila aina ya USHENZI kuwa MTAKATIFU / MWENYE HERI na mambo yao kibao lakini hawawezi kumpangia MUNGU adhabu ya kumpatia huyo Kikongwee

UDINI unao uona sasa hivi hapa Tanganyika , huyo Mzee Nyerere ndio muasisi wake ! Somaaa sanaaa uujue ukweli, Materials haya yapo sio kama Mtaala wa Kawambwaa ambao sio tangible hivi vitu vyenyewee vipo sanaa

Ila hayo Material si yameandikwa na mwenye chuki binafsi kama wewe!
 
Tatizo kubwa kiongozi wa Waislamu kaishia darasa la saba, kwahiyo usitegemee waumini wake wawe na weledi wa kumzidi darasa la saba.

sheikh-muft-issa-bin-shaaban.jpg

Ila Lowasa anawajuwa na kuwafahamu vyema.

1.JPG
 
Yani nimesikitishwa sana na uchambuzi kikubwa wakifanyacho ni kuponda wakristo na ukristo pamoja na Nyerere.

Kibaya zaidi wachambuzi ktk kipindi hicho ni wahadhiri wa chuo kikuu cha kiislamu moro

Kwenda shule sio kuelimika, wapo wanaotoka mambumbu usishangae ndg yangu ndio maana hata product zao ndo hizo hizo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom