Radio imaan na sakata la kuchinja

Status
Not open for further replies.
Redio imani niredio ambayo aina mbele wa nyuma kwani hata wafanyakazi.wake wanalipwa tshs 159,000/-hivyo ni redi ambayo s mda mrefu tu itafungwa kwani aina msaada hata kdogo.ina tangazo moja la biashara la azam peke yake.awaishi hao

Naona Mgalatia unagawa riziki !
 

Miungu mnayo nyie, tena wanne ! baba, mwanae, mama wa mungu na huyu roho mtakatifu ! Hivi mlikuwa wapi miaka yote hii ? Bakwata bado wanapeleka wachinjaji machinjioni na mpaka sasa hamna Mgalatia mchinjaji wala mnyongaji !
 
 

Mzee nenda katika al Maida, utaona wanyama walioruhusiwa, Farasi hayumo ! Hadithi haiwi juu ya Qur'an !
 


Ha ha ha, umemshika pabaya ndugu yetu. Nona sasa kimyaa. Kumbe Farasi ni hala tena na Maziwa yake. Khaaa
 
 
Ha ha ha, umemshika pabaya ndugu yetu. Nona sasa kimyaa. Kumbe Farasi ni hala tena na Maziwa yake. Khaaa

Nimemjibu mgalatia mwenzio hapo juu! Hadith haiwezi kuwa juu ya Quran: soma al Maida utaona dalili na majina ya wanyama walioruhusiwa. Farasi hayumo !
 
...red meat hapana..ila kuku nitachinja mwenyewe asio waimani yangu shauri yake...samaki nitakula inagawa hachinjwi...kibudi bila shaka...
 
Mzee nenda katika al Maida, utaona wanyama walioruhusiwa, Farasi hayumo ! Hadithi haiwi juu ya Qur'an !

Quran 4:80 inasema:- "Mwenye kumtii mtume amemtii mwenyezi Mungu(kwani anayoyaamrisha mtume yametoka kwa Mungu atakayekengeuka anajidharau mwenyewe)........"

Hadithi si ni za mtume jamani......wewe Ally unakengeuka.....
 
sidhani kama kwa wakristo kuchinja ni ibada. Kisichotakiwa ni kushiriki ibada za waislam
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…