Kufanya kazi kwa Dialo, si bora tu nife na huu moto wangu hapa wa kupika MAMA LISHE!!!😡😡😡😡Tuma CV na Application letter..resource watu mbona mpo kibaoo
Kufanya kazi kwa Dialo, si bora tu nife na huu moto wangu hapa wa kupika MAMA LISHE!!!😡😡😡😡Tuma CV na Application letter..resource watu mbona mpo kibaoo
Baada ya kutoka yule jamaa alieko mawingu fm kikafa afu cjui kwann watangazaji wazuri hawadum kwenyee hii RadioKuna baadh ya vipindi vilikua na ladha yake ya kipekee kama sindano tano za moto
Time change people change..inawezekana dialo akawa amebadilika..unakamatia kipindi cha michezo unawaeka pemben kina maregesi cz ni wazinguaji tuu..no ubunifu..Kufanya kazi kwa Dialo, si bora tu nife na huu moto wangu hapa wa kupika MAMA LISHE!!!😡😡😡😡
Kwann mkuuKufanya kazi kwa Dialo, si bora tu nife na huu moto wangu hapa wa kupika MAMA LISHE!!!😡😡😡😡
Halipagi mishahara kwa wakati, na wakimuomba mishahara yao ana majibu ya "shombo"Kwann mkuu
RFA Michezo ndo sifuri kabisa yan wale jamaa wanasoma taarifa za michezo nasi uchambuzi wa michezo ambako ndo ulimwengu wa michezo uliko. Wanpigwa bao cku hiz hata na local distrct radio kwa ubunifuTime change people change..inawezekana dialo akawa amebadilika..unakamatia kipindi cha michezo unawaeka pemben kina maregesi cz ni wazinguaji tuu..no ubunifu..
Mkuu tatizo ni ubunifu..takwimu zao ni za uongo..najiuliza muda ambao wapo free hawakai chini kuchimba information za maanaRFA Michezo ndo sifuri kabisa yan wale jamaa wanasoma taarifa za michezo nasi uchambuzi wa michezo ambako ndo ulimwengu wa michezo uliko. Wanpigwa bao cku hiz hata na local distrct radio kwa ubunifu
Lakn redio ina ladha yake kwenye akili..sio kwenye koosikumbuki mara ya mwisho kusikiliza Redio ilikuwa mwaka gani.....kiufupi sipendi kisikiliza redio!!!
Huenda hapat faida angalia hata matangazo wanayorusha yan hadi aibu kupeleka tangazo lako pale. Wanarusha matangazo kizaman mno yan hawaend na wakati. Wale mawingu fm ukipeleka tangazo lako pale yan had unafurah wanavyolirusha hewanHalipagi mishahara kwa wakati, na wakimuomba mishahara yao ana majibu ya "shombo"
Bas haikuhusu ila kuna umuhim kusikiliza radio piasikumbuki mara ya mwisho kusikiliza Redio ilikuwa mwaka gani.....kiufupi sipendi kisikiliza redio!!!
Mkuu unamiliki redio kongwe unajua nyanja zote za biashara..kwa nn usipate faida?Huenda hapat faida angalia hata matangazo wanayorusha yan hadi aibu kupeleka tangazo lako pale. Wanarusha matangazo kizaman mno yan hawaend na wakati. Wale mawingu fm ukipeleka tangazo lako pale yan had unafurah wanavyolirusha hewan
Havana sio ya mama Salma ni ya wazungu.. kama sio mtoto wa fisadi unaishia getiniWanasemaga eti ni ya Mama Salma JK hiyo shule🙄🙄🙄🙄 iko Shinyanga
Mkuu ubunifu nijambo la mhimu sanaaa. Aweke dam changa ataiteka lake zone kwa mwendo alionao hafiki mbal kwenye ushindanMkuu unamiliki redio kongwe unajua nyanja zote za biashara..kwa nn usipate faida?
Kwa nn usiwekeze kwenye damu changa inayojua kukimbizana na market..
Kampeni za kisiasa zikianza utaiskia inavyopiga debeMkuu ubunifu nijambo la mhimu sanaaa. Aweke dam changa ataiteka lake zone kwa mwendo alionao hafiki mbal kwenye ushindan
RFA Michezo ndo sifuri kabisa yan wale jamaa wanasoma taarifa za michezo nasi uchambuzi wa michezo ambako ndo ulimwengu wa michezo uliko. Wanpigwa bao cku hiz hata na local distrct radio kwa ubunifu
Ina uTBC eeh?Kumbe na ww limekukera yan RFA sku hiz inapoteza mvuto kabisa kwanza watangazaji sio wabunifu kabisa kwenye vipind vyao.
Atleast mm cku hiz namkubali sana yule jamaa wa mambomambo yeye anjiita Mr C
Hasa kwa the green party wanaweza sahau hata mda wa BBC dira ya dunia.Kampeni za kisiasa zikianza utaiskia inavyopiga debe
Sasa huwa unafanyaje hasa akikuambia kwamba Don! Kwa uchambuzi wako tabir matokeo ya leoUmenikumbusha, nipitie matirio hapa, kuna demu mmoja ni mshabiki wa Arsenal mtaani, sasa anaiombaga nimfanyie uchambuzi wa games za EPL. Nimejikuta nimekuwa kama kina Shafii dah.
Ila sasa kuichambua Arsenal ndo nimeshindwa.
Sasa huwa unafanyaje hasa akikuambia kwamba Don! Kwa uchambuzi wako tabir matokeo ya leo