Ok. Ngoja niwachekiWapigie cm watakujibu
Siku iz redio nyingi zimefuliaHivi bado ipo hii radio?
Radio Free Africa na Azam Tv ni mapacha wenye aleji na mvua, hivi vituo viwili havipatani na mvua kwani kukiwa na mvua matangazo yake hukatika. RFA magazeti husomwa toka Dar es Salaam Kinondoni huku wakiunganishwa na kituo kikuu cha kurusha matangazo kilichoko Mwanza lakini kukiwa na mvua mawasiliano hukatika na tatizo hili lipo tangu RFA ilipoanzishwa na kwa miaka yote wameshindwa kulitatua tatizo hilo vivyo hivyo na Azam Tv nayo mvua ikinyesha matangazo husikia baridi na kutetemeka! Nao tangu kituo kianze wameshindwa kulitatua tatizo hilo kutokana na vifaa wanavyotuuzia kuwa ni vya hali ya chini sana kiasi inawalazimu watumie gharama kuvifanyia matengenezo bure! Hii si bure kwani mwisho wa siku mteja unaambiwa ununue kingine ambacho nacho hakitadumu huku TBS( Mamlaka ya Viwango) ikiwagwaya.Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
hii redio inayumba sana, mara wapotee hewani kwenye masafa yaoNi wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
kama ipi?Siku iz redio nyingi zimefulia
Leo wamenikumbusha mbali kweli. Wamepiga ule wimbo wa "Kinshasa Malembe....! wa Zaiko Langa Langa! Magazeti na matukio hamne! Nisingelikuwa mstaarabu, ningelisema RFA wamefanya makusudi tusisikie mambo ya G55 ya Chadema! Ahahahahaha!!Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
Jambo 106.9 fm MwanzaHii ndo Redio yangu bora kwa vipindi vya asubuhi hasa DW na Magazeti lakini hata mimi nashangaa wiki nzima wanaweka muziki tu mara matangazo yakate inakua kimya.
Dialo kama kashijdwa bora aiuze kwa Jambo.
Cloudskama ipi?
imefulia kivipi wakatai imejaza watangazaji mpaka wengine hutangaza kipindi kimoja wako watatu hadi wanne. Labda ungesema redio wani watangazaji ni walewale kila sikuClouds
hii jambo fm ni yule mtengeneza juisi za jambo? Redio inapiga muziki tu, naona iko kwenye majaribio, inapasua anga mpaka ukanda wa katiJambo 106.9 fm Mwanza
Mapinduzi ya tasnia ya radio nchini Tanzania, kwa mwanzo huu naimani kubwa ya kuwarudisha watu katika kisikiliza redio kama ilivyokuwa miaka ya 90-2000 kupitia Jambo fm,, wamejipanga vizuri sana,, nawatakia kila lenye kheri kwao,,
Transmitter zake za mikoani zimefifia sana mikoa mingine haisikiki tenaimefulia kivipi wakatai imejaza watangazaji mpaka wengine hutangaza kipindi kimoja wako watatu hadi wanne. Labda ungesema redio wani watangazaji ni walewale kila siku