Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Si uache kusiliza?
Khaa!! Nyie kazi kulialia tu. Tumewachoka sasa. Anzisheni zenu tuone kama itasavaivuKatika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )
Dada huyu amesoma habari zinazowahusu UKAWA kwa kirefu katika magazeti haya mawili na kuyaacha magazeti yanayoandika habari kwa kubalance kama Majira Mtanzania jambo amabalo ni upotoshaji mkubwa juu ya suala la jana n.k hata katika maoni ya Mhariri amesoma katika gazeti la uhuru tu.
Jambo hili si haki kwa chombo huru vinginevyo wajitangaze kuwa redio ya CCM kama radio uhuru.
Katika kipindi cha yasemavyo magazeti leo asubuhi kilichoendeshwa na Liliani Mtono nimesikitishwa na usomaji unaoegemea zaidi katika Magazeti yenye mwelekeo wa kichama (Habari Leo na Uhuru )

kwani umelazimishwa kusikiliza, acha sisi tusikilize anzisha radio yako au gazeti lako na hiyo ela mliyopiga hapo bungeni??? Ukawa wamechukua chao mapemaaaaaaaaa naona pasaka itakuwa tamu kweli kweli