Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

Hijja Madava

JF-Expert Member
May 14, 2014
3,302
1,936
Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani

Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini
 
Kiweke hapa tukisikie
 

Kwahiyo unahitaji majibu ya "kwanini' au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua mtu unaweza kuwa kituko mpaka ukawa unajivutia dhihaka mwenyewe
 
Hawa many'angau ndio zao!, kila siku wao ni negativity na rais wetu, something which is not good kwenye ujirani mwema, good neighbourhood njema.
P
 
Wakenya wanaendesha kampeni yao twitter ya kumkejeli rais, wabongo hawanaga mzuka nao hata kama wa kwao anachoma majani.

Ila wakishapigwa njaa huwa wanarudi vichwa chini wasaidiwe mahindi....mkenya akimiliki smartphone anajiona ni bonge la mjanja na kuongea kile kiingereza chenye lafudhi mbovu...
 
Tuwapostie wasiojulikana waimbe nao hawawezi tuchezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…