Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 #1 Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama π Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama π Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
A annatee JF-Expert Member Joined Aug 15, 2021 Posts 1,225 Reaction score 2,389 Mar 14, 2026 #2 Nilishindwa hadi kulala nilitamani nitoke nje siwezi natamani hata kungekuwa na handaki niingie chini.Radi ya jana sio mchezo
Nilishindwa hadi kulala nilitamani nitoke nje siwezi natamani hata kungekuwa na handaki niingie chini.Radi ya jana sio mchezo
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 45,751 Reaction score 55,789 Mar 14, 2026 #3 Wapi hyo ? Mimi nilikuwa nimelala
ERTUGRUL BEY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 11,600 Reaction score 21,650 Mar 14, 2026 #4 Jana nililala kama nimekufa sikusikia hata kidogo,nasikia watu wakisema kama nyie
mkale JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 1,737 Reaction score 1,987 Mar 14, 2026 #5 radi ni hatari ila upepo wa mvua ni hatari zaidi..
P PERAMIHO YETU 1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2025 Posts 438 Reaction score 884 Mar 14, 2026 #7 wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf
wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf
ERTUGRUL BEY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 11,600 Reaction score 21,650 Mar 14, 2026 #8 PERAMIHO YETU 1 said: wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf Click to expand... Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu
PERAMIHO YETU 1 said: wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf Click to expand... Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu
P PERAMIHO YETU 1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2025 Posts 438 Reaction score 884 Mar 14, 2026 #9 ERTUGRUL BEY said: Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu Click to expand... Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique eee
ERTUGRUL BEY said: Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu Click to expand... Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique eee
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #10 Mimi nilikuwa na yandua asee niliposikia mjegeje ukalala annatee said: Nilishindwa hadi kulala nilitamani nitoke nje siwezi natamani hata kungekuwa na handaki niingie chini.Radi ya jana sio mchezo Click to expand...
Mimi nilikuwa na yandua asee niliposikia mjegeje ukalala annatee said: Nilishindwa hadi kulala nilitamani nitoke nje siwezi natamani hata kungekuwa na handaki niingie chini.Radi ya jana sio mchezo Click to expand...
ERTUGRUL BEY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2020 Posts 11,600 Reaction score 21,650 Mar 14, 2026 #11 PERAMIHO YETU 1 said: Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique eee Click to expand... Asante,nilishia pale pale Muhukulu ingawa kutokea pale si kilomita nyingi Msumbiji ile pale
PERAMIHO YETU 1 said: Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique eee Click to expand... Asante,nilishia pale pale Muhukulu ingawa kutokea pale si kilomita nyingi Msumbiji ile pale
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #12 mkale said: radi ni hatari ila upepo wa mvua ni hatari zaidi.. Click to expand... Kule kigoma upepo umepita na watu wa serikali
mkale said: radi ni hatari ila upepo wa mvua ni hatari zaidi.. Click to expand... Kule kigoma upepo umepita na watu wa serikali
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #13 mjingamimi said: Wapi hyo ? Mimi nilikuwa nimelala Click to expand... Na siku ya yesu kurudi utakutwa umelala unaamka unajikuta uko ahela π
mjingamimi said: Wapi hyo ? Mimi nilikuwa nimelala Click to expand... Na siku ya yesu kurudi utakutwa umelala unaamka unajikuta uko ahela π
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,292 Mar 14, 2026 #14 Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee?
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #15 PERAMIHO YETU 1 said: wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf Click to expand... Tz nzima lbd wewe ulikuwa ulaya π π
PERAMIHO YETU 1 said: wana jamii forums weng mnadhan wote tunakaa dsm wengne tupo huku mpitimbi hakukuwa na rad wala mvua Ilibid useme radi ya leo huko dsm ilikuwa hatar Nyambaaf Click to expand... Tz nzima lbd wewe ulikuwa ulaya π π
P PERAMIHO YETU 1 JF-Expert Member Joined Dec 12, 2025 Posts 438 Reaction score 884 Mar 14, 2026 #16 ERTUGRUL BEY said: Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu Click to expand... Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique Numbisa said: Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee? Click to expand... Baeleze bamutu ya dsm Hao huwa wanalala na ndoo za haja ndogo chumban mwao
ERTUGRUL BEY said: Huko mpitimbi nilipita nikielekea Muhukulu Click to expand... Dah karibu sana hapa mtaa wa madukan sokon unywe ulanz na myakaya Ulikuwa unaenda mozambique Numbisa said: Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee? Click to expand... Baeleze bamutu ya dsm Hao huwa wanalala na ndoo za haja ndogo chumban mwao
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #17 Numbisa said: Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee? Click to expand... We sema uliwahi kulala uliza wenzio
Numbisa said: Watu wa dar,huwa mnahisi kila kinachotokea dar kinasikika nchi nzima ee? Click to expand... We sema uliwahi kulala uliza wenzio
trudie JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 4,453 Reaction score 10,818 Mar 14, 2026 #18 Hiyo radi inaongelewa kila kona jamani na kila mtu kaiona ina maana katika raia wote wa DSM niliyekuwa nimelala muda huo ni mimi peke yangu???
Hiyo radi inaongelewa kila kona jamani na kila mtu kaiona ina maana katika raia wote wa DSM niliyekuwa nimelala muda huo ni mimi peke yangu???
Think2 JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 2,194 Reaction score 3,960 Mar 14, 2026 Thread starter #19 trudie said: Hiyo radi inaongelewa kila kona jamani na kila mtu kaiona ina maana katika raia wote wa DSM niliyekuwa nimelala muda huo ni mimi peke yangu??? Click to expand... π ni nouma yaani hadi kutetemeka
trudie said: Hiyo radi inaongelewa kila kona jamani na kila mtu kaiona ina maana katika raia wote wa DSM niliyekuwa nimelala muda huo ni mimi peke yangu??? Click to expand... π ni nouma yaani hadi kutetemeka
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,292 Mar 14, 2026 #20 Mkuu hamna radi olyopiga nilipo. Nilikuwa kwenye mkesha hadi muda unaousema Think2 said: We sema uliwahi kulala uliza wenzio Click to expand...
Mkuu hamna radi olyopiga nilipo. Nilikuwa kwenye mkesha hadi muda unaousema Think2 said: We sema uliwahi kulala uliza wenzio Click to expand...