Radi gani inarusha matangazo toka bungeni?

Mrembo

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
414
210
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kujua ni radio gani inarusha matangazo moja kwa maja toka bungeni? nitashukuru kama mtanitajia na frequence zake.
asanteni sana
 
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kujua ni radi gani inarusha matangazo moja kwa maja toka bungeni? nitashukuru kama mtanitajia na frequence zake.
asanteni sana

Mkuu vipi? Bunge limepigwa na Radi?
 
no nimekosea, i meant Radio. kama unajua nitashukuru sana, maana nataka kusikiliza bunge na umeme umekatika, so inabidi nitumie Radio

Radio si pia utasilikiza? au ulimaanisha kuangalia? HAKUNA REDIO INAYOTANGAZA BUNGE KWA SASA.....ila jaribu 96.4 FM kama uko Dar
 
Mrembo upo nchi gani? maana frequency zinatofautiana kati ya sehemu moja na nyingine, ila baki hapa hapa JF utapata kila kitu.
 
asanteni 96.4 haitangazi.
basi tena ndio nimeshakosa
 
Mrembo upo nchi gani? maana frequency zinatofautiana kati ya sehemu moja na nyingine, ila baki hapa hapa JF utapata kila kitu.

asante ningependa kufuatilia through JF ila laptop yangu ndio inaishiwa charge ivyo. too bad!
 
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kujua ni radio gani inarusha matangazo moja kwa maja toka bungeni? nitashukuru kama mtanitajia na frequence zake.
asanteni sana

Uhakika nilionao ni kuwa Redio ya Taifa (TBC TAIFA) 92.3Mhz (Dar es Salaama) inatangaza live kwa kikao cha asubuhi kuanzia saa tatu hadi saa tano na baada ya hapo wanakata matangazo yao. Sa sijui kama kuna wengine huwa wanaendeleza. Na TBC Taifa wakiwa hewani na MLIMANI Radio 96.5Mhz wanakuwa hewani
 
Habari zenu wana JF.
Naomba msaada kujua ni radio gani inarusha matangazo moja kwa maja toka bungeni? nitashukuru kama mtanitajia na frequence zake.
asanteni sana

Uhakika nilionao ni kuwa Redio ya Taifa (TBC TAIFA) 92.3Mhz (Dar es Salaama) inatangaza live kwa kikao cha asubuhi kuanzia saa tatu hadi saa tano na baada ya hapo wanakata matangazo yao. Sa sijui kama kuna wengine huwa wanaendeleza. Na TBC Taifa wakiwa hewani na MLIMANI Radio 106.5Mhz wanakuwa hewani
 
Back
Top Bottom