wana jf kwa yeyote aliyekwisha wahi fanya interview na hawa jamaa naomba anijuzi huwa written interview zao zikoje yani muundo wa maswal wanayopenda kuuliza
kama umeitwa kwenye position ya tech hua hawana maswali ya maana zaidi ya HR question na geneneral qns ila kama umeitwa pia kwnye position amabayo anaekuiinterview haijui pia hua hakuna maswali mengi ila kama hiyo position anaifahamu tegemea maswali lukuki...na kwnye written hua ni normal questions na kama aptitude test za vyuoni ila unatakiwa uwe na idea ya math yapo mengi amabayo hua ni ver simple na hua ni kwa mda mfupi sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.