Radar money to TAMONGSCO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radar money to TAMONGSCO

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Oct 30, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  WanaJF nimetembelea website ya TAMONGSCO Welcome to Tamongsco | Tamongsco nimekutana na barua ifuatayo.
  TAMONGSCO ni Association ya wakuu wa shule na vyuo zisizo chini ya serikali Tanzania inajihusisha na maendeleo ya elimu Tanzania na Zanzibar kwa ujumla zikiwemo tafiti mbalimbali kama katiba yao inavyojieleza. Hivi majuzi Membe alikaririwa akisema fedha hizo zitatumika katika kugharimia ujenzi wa nyumba za walimu 150,000, kujenga vyoo vya shule, kunulia madawati na vifaa mbalimbali, hivyo wanatafuta NGO kama moja ya masharti ya DfID ya Uingereza itakayosaidiana na serikali kuratibu misaada hiyo. Hivyo TAMONGSCO wamejitokeza kuratibu kwa vile wako karibu na walengwa wa misaada hiyo na wameshafanya tafiti nyingi zitakazowasaidia kutimiza malengo hayo.

  Je Membe na serikali wako tayari kushirikiana na TAMONGSCO?

   
 2. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwanini Membe akatae kama wamesajiliwa na wanauwezo wapewe ila waje na Action plan si kusema tu wanaweza lazima waonekane kuwa wanaweza.
   
 3. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  ndio washawahi hao
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Kwani UK walivyosema hela ya Radar lazima wapewe NGO mlifikiri wanatania. M.kwere akaenda na wabunge butu akina azan eti kuiambia serikali ya UK izilete hela serikalini...wakaambiwa sawa.

  kama kuna vibuyu dunia hii basi ni CCM na serikali yake.
  dFID watoe RFE kwa NGO zenye interest na capability wapewe hiyo hela.
   
Loading...