jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
Wamalawi wameiharibu hatuwawezi wameshaanza
inteli-jinsia ya (ke) ya Joyce B inaonekana kufanya kazi vema, hatutakuwa na uwezo wa kumzuia yule mmalawi ku-hit magogoni na viunga vyake i.e ilala migomigo, upanga kwa mama jeni*** kurasini, gomz, lugalo***
waliotununulisha hii kitu napendekeza wapimwe kubaini kama ni waumini itikadi ya D. Cameroon.