Racism in football


Mourinho

Mourinho

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
4,627
Likes
110
Points
160
Age
98
Mourinho

Mourinho

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2012
4,627 110 160
Muandaaji (Producer) wa kipindi cha CNN World Sport bwana Harry Reekie, anaandaa documentary kuhusiana na ubaguzi wa rangi kwenye soccer na hapa kuna makala yake kuhusiana na tatizo hilo.

Pitia hii makala then tujaribu kutoa maoni yetu kuhusiana na hili na maswali mawili matatu, kama;

je inatosha tu kuwafungia wachezaji match 5 mpaka 10 wakibainika kutoa maneno ya kibaguzi uwanjani?

Je fine zinazotolewa kwa team husika are they sufficient?

Kwa nini team zisipunguzwe points/ points deduction pale zikibainika washabiki wake au wachezaji wake wanafanya ubaguzi wa rangi iwe kwa vitendo au maneno( racist chants)?

Racism in football will never be a thing of the past
http://www.cnn.com/2013/06/12/sport/football/football-racism-serbia-reekie/index.html
 

Forum statistics

Threads 1,275,059
Members 490,894
Posts 30,531,755