Racism in Africa/ubaguzi katika michezo africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Racism in Africa/ubaguzi katika michezo africa

Discussion in 'Sports' started by mtotowamjini, Oct 22, 2012.

 1. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani mi sijawahi ku attend games au kufuatilia sana games za teams za africa..je kuna racism in africa? ninavyosema racism simaanishi ubaguzi wa rangi tu bali hata ubaguzi wa dini, kabila, ukanda/nchi...

  Nimeuliza hivi kwa sababu mi nafuatilia games za europe na haipiti wiki kuna racist chants from the crowd kama ilivyotokea kwenye under 21 game kati ya england na serbia, na huko uk tena kuna issues kati ya john terry na anton ferdinand na last year kulikua na issue ya luiz suarez na patrice evra...ambayo mpaka sasa hivi bado ni gumzo huko uk

  sasa games kati ya yanga/simba au yanga/azam players or fans hua wanatukanana au kujibishana kutumia dini/ukabila/uzawa au hivi vitu vipo nchi za ulaya tu na kwamba huku kwetu ushabiki wetu ni wa ki amani na upendo....washabiki mnaofuatilia mipira zaidi ya bongo mtujuze
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Endelea tu kufuatilia mpira wa Europe, siku ukijisikia kufuatilia wa Afrika utajua kama kuna ubaguzi au la.
  Mpira uko kwenu Ulaya bwana, sisi huku waafrika bilioni 1 tunajumuika na Coke. Dont bother wala nini...
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: nilikua siishi hapa ndio maana mipira ya bongo nilikua siifuatilii ila sasa hivi nimerudi niko full sasa wewe unasema ni mwandishi lakini hata kutupa maelezo unabania sasa ulivyojibu hapo juu ndio jinsi mlivyofundishwa kwenye kazi zenu? kweli waafrika watakuaga waafrika tu
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Pole sana, sijakubania kaka.
  Unaposema racism una maana ubaguzi amabao anafanyiwa mtu kutokana na mbari yake au 'race'. Afrika hakuna huo ubaguzi kwa vile tuko wenyewe tu kwenye soka letu. Kuna kipindi matukio hayo yanatokea nchi za kiarabu kwa Waafrika weusi kubaguliwa, lakini sio sana kama Ulaya.
  Matukio mengine ya kuzomewa kwa vile umehama timu ni kawaida, kuna kipindi John Bocco alikuwa anazomewa na mashabiki wa Simba na Yanga anapochezea timu ya taifa, hata Ashley Cole, Luis Figo, Samir Nasri na wengineo walishawahi kukumbwa na harrasment za mashabiki walipohama timu zao.
   
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  ubaguzi upo sema hatuwezi kuuita direct ubaguzi .. Ni kama unyanyapaa ama labda watu hawakukubali tu ama kocha hajakupenda so hupangwi but direct as ubaguzi hakuna kitu kama hicho. Manake muafrika mwenzako akikuita nyani utakasirika?
   
Loading...