Rachel Mashishanga azidi kuimarisha CHADEMA Shinyanga

Rachel Mashishanga azidi kuimarisha CHADEMA Shinyanga

Wale wanaochangishwa maabara wanapewa risiti halali na isitoshe kamati ya ujenzi ya kijiji inasimamia kila kitu no wizi siyo kutembeza bakuli kama omba omba hata aibu hakuna. Hivi Hata hofu ya Mungu hakuna? unaruka kwa hell kopta alafu bado ombaomba? ??? Kweli wajinga ndo waliwao

Huoni hata haya enzi ya Mkapa na Nyerere uliona wapi hii kitu risiti hata mimi na weza kuitengeneza zungumzia kingine kwa nchi yenye asali na maziwa kama Tanzania sio ya kuchangishana hela za maabara walimu wenyewe hamna .
 
Ngoja nifanye mahesabu kwanza maana sisi hatufanyi kazi isiyolipa, tisheti moja shs. 5000 zidisha mara wanamama ca. 100000 jibu unapata 50,0000,000 sifa na shukrani kwa menekiti

Chadema sio chama cha mafisadi.sisi tunachangia kujenga chama.
 
inabidi akapige kambi ya mwezi mzima kwenye wilaya yenye madini adimu dunian lakini ya kwanza kwa umasikini dunian(KISHAPU) kwa mbuge kilaza kuliko wote Tz(NCHAMBI)

Anapiga Mkoa mzima wa Shinyanga:thumbup:
 
Chadema sio chama cha mafisadi.sisi tunachangia kujenga chama.

Ufisadi ni pamoja na kupokea fedha bila risiti halali ya chama, something u cannot account for. Wewe unaimarisha mfuko binafsi kwa hili utawadanganya kwenye mikutano ila siyo JF
 
Ufisadi ni pamoja na kupokea fedha bila risiti halali ya chama, something u cannot account for. Wewe unaimarisha mfuko binafsi kwa hili utawadanganya kwenye mikutano ila siyo JF

Basi enda kwa wanainchi uwambie wasichangie Chadema::what:
 
Rachel Mashishanga Mama na Kazi Shinyanga wapo tayari na Rachel.Rachel Tosha 2015.....
 
Hoja ipi sasa?wakati wewe ndo Maelezo yako haina mshiko.😕😱

Ufisadi ni pamoja na kupokea fedha bila risiti halali ya chama, something u cannot account for. Wewe unaimarisha mfuko binafsi kwa hili utawadanganya kwenye mikutano ila siyo JF
 
Back
Top Bottom