Rachel Mashishanga azidi kuimarisha CHADEMA Shinyanga

Rachel Mashishanga azidi kuimarisha CHADEMA Shinyanga

Sonko.com

Member
Joined
Feb 10, 2015
Posts
52
Reaction score
21
Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Shinyanga kamanda Rachel Mashishanga Robert. akitoa mafunzo kwa kina mama wilaya ya shinyinga, mafunzo ni endelevu kwa kila jimbo . Mafunzo kwa mabadiliko na maendeleo.hii ni moja wapo ya ziara yake kila kona ya Mkoa mzima wa Shinyanga kuhakiksha Chadema ina imarika..
 
Attachments

  • 1430377163938.jpg
    1430377163938.jpg
    75.2 KB · Views: 793
Wakina mama wa Bawacha wakizidi kufutalia mafunzo kutoka kwa Mhe Rachel.
 
Attachments

  • 1430377260509.jpg
    1430377260509.jpg
    71.9 KB · Views: 557
Meza kuu chini ya Mhe Rachel wakizidi kutoa mafunzo kwa akina mama wa Bawacha wakizidi Wilaya ya Shinyanga.
 
Attachments

  • 1430377313338.jpg
    1430377313338.jpg
    59.1 KB · Views: 558
Kamanda Rachel na viongozi wa Bawacha kabla ya kikaoo.
 
Attachments

  • 1430377394950.jpg
    1430377394950.jpg
    104.9 KB · Views: 555
Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Shinyanga kamanda Rachel Mashishanga Robert. akitoa mafunzo kwa kina mama wilaya ya shinyinga, mafunzo ni endelevu kwa kila jimbo . Mafunzo kwa mabadiliko na maendeleo.hii ni moja wapo ya ziara yake kila kona ya Mkoa mzima wa Shinyanga kuhakiksha Chadema ina imarika..

:thumbup:
 
Ni vema kama amebadilika maana kuna wakati alikuwa anatumiwa na makada wa CCM kuvujisha siri za CHADEMA ...
 
Ngoja nifanye mahesabu kwanza maana sisi hatufanyi kazi isiyolipa, tisheti moja shs. 5000 zidisha mara wanamama ca. 100000 jibu unapata 50,0000,000 sifa na shukrani kwa menekiti
 
Huyu mama kweli ni Kamanda, ukimuangalia mara mbili unabaini kweli ni Kamanda..!!

Hebu mwangalie vizuri.

BACK TANGANYIKA
 
Wanakimama wameshaamka hakuna kurudi nyuma enezeni mabadiliko ili wakiletewa chumvi watumie lakni kura upinzani
 
Ngoja nifanye mahesabu kwanza maana sisi hatufanyi kazi isiyolipa, tisheti moja shs. 5000 zidisha mara wanamama ca. 100000 jibu unapata 50,0000,000 sifa na shukrani kwa menekiti

Unanunua kwa pesa yako hawapewi bure kama wale wa chama mfu
 
Unanunua kwa pesa yako hawapewi bure kama wale wa chama mfu

Utaelewa taratibu usijali hatufanyi kazi ya kanisa tumetumwa pesa ndo maana kila mkutano tunakusanya michango kutunisha mifuko na jezi tunawauzia hadi washtuke tayari matrilionea
 
Utaelewa taratibu usijali hatufanyi kazi ya kanisa tumetumwa pesa ndo maana kila mkutano tunakusanya michango kutunisha mifuko na jezi tunawauzia hadi washtuke tayari matrilionea

Huna lolote matrilionea unawajua labda kama unamzungumzia Kinana au wale wanaochangisha fedha za maabara wakati kodi inalipwa na misaada wanapewa hela haijulikani inakokwenda.
 
Huna lolote matrilionea unawajua labda kama unamzungumzia Kinana au wale wanaochangisha fedha za maabara wakati kodi inalipwa na misaada wanapewa hela haijulikani inakokwenda.

Wale wanaochangishwa maabara wanapewa risiti halali na isitoshe kamati ya ujenzi ya kijiji inasimamia kila kitu no wizi siyo kutembeza bakuli kama omba omba hata aibu hakuna. Hivi Hata hofu ya Mungu hakuna? unaruka kwa hell kopta alafu bado ombaomba? ??? Kweli wajinga ndo waliwao
 
inabidi akapige kambi ya mwezi mzima kwenye wilaya yenye madini adimu dunian lakini ya kwanza kwa umasikini dunian(KISHAPU) kwa mbuge kilaza kuliko wote Tz(NCHAMBI)
 
Back
Top Bottom