Mheshimiwa RA atafanya ziara wilayani Nzega kama ifuatavyo:
- Jumatano 27 Julai, 2010: atatua Nzega saa 1:40 asubuhi na kuondoka saa 2:00 asub.
- Alhamisi 28 Julai, 2010: atatua Nzega saa 12:00 jioni na kuondoka saa 12:20 jioni.
Safari zote hizo atazifanya kwa ndege.