R KELLY KUOZEA JELA

huyu jamaa namsikitia sana, once upon a time alikuwa at the top of his music career, he second to none.
 
Alipoenda kujitetea kwenye TV na mademu wawili anaokaa nao ndani ndio alijifungia kitanzi cha makosa ya sexual slavery

Alipomuoa Aaliya binti wa miaka 15 kwa kuhonga ustawi wa jamii imsaidie ku forge vitambulisho vya Aaliyah ili aonekane mkubwa aliwakera sana Wamarekani

Vitendo vya celebrity mzito, tajiri mkubwa, kulala wanawake na watoto wadogo huku unawapiga video ndio vilidhihirisha kabisa huyu ni sexual predator

Hana wa kumlaumu
 
Nilikuwa namuonea huruma lkn alizidi ushenz huyu umbwa hasa vile alivyomfanyia mtoto mzuri aaliyah[emoji3525][emoji24] asulubiwe barabara huyu..

Huyo mshenzi Rkelly afungwe tu hakuna namna ,kama alimuoa Aaliyah akiwa na miaka 15 means alianza kumtafuna akiwa na 13,Rkelly ni muharibifu anastahili kifungo cha maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…