R.I.P Prof Michael Kishimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

R.I.P Prof Michael Kishimba

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mussamhando, Oct 18, 2011.

 1. m

  mussamhando Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimepata pigo lingine baada ya kuondokewa na Professor wake mahiri katika mambo ya Chemia. Ukweli alikuwa bingwa sana katika eneo lake na alishasimamia wanafunzi wengi sana katika hatua ya shada ya pili. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amin.
   
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Poleni... mmmh!!! Chemisitiri...
   
Loading...