R.I.P Neema

you have a good heart, Mungu atakulipa kwa msaada na maombi uliyoyafanya kwa binti huyo. Roho ya Marehemu Neema ipumzike kwa amani, Amina!
 
you have a good heart, Mungu atakulipa kwa msaada na maombi uliyoyafanya kwa binti huyo. Roho ya Marehemu Neema ipumzike kwa amani, Amina!
Amen..

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Binadamu anakumbukwa kwa mambo mawili tu akishaondoka...aidha matatizo aliyosababisha au matatizo aliyotatua!
hongera kwa uungwana mkuu
 
Mimi mgumu sana,ila hapa nimeingiwa na huruma RIP NEEMA.

Akili za usiku
 
moja ya uzi ulionisikitisha mno ndani ya JF,u try hongera sana that's why its important to try to make a small different a day kwa wanaotuzunguka,RIP DADA NEEMA,wote tupo safari moja
 
Hii Story imenitoa machozi

Mwenyezi mungu aiweke rogo ya Neema mahali pema peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…