Aksante ndugu..ubarikiweWewe ni great thinker, hongera sana. Unajua Mungu huja ktk mazingira usiyoyategemea, ulipanda mbengu njema na matunda lazima utayala mengi na utafaidi. Big up!
Simulizi inavutia, nimeisoma yote!
MUNGU akujalie nduguHii ndio maaana ya neno ubinaadamu na ndivyo MUNGU katuagiza tuishii..
Namshukuru Mungu kunipa moyo wa kusaidia watu japo sina uwezo!
Siwez mpita ombaomba kama nachochote mfukonii..
RIP NEEMA unajina kama la mdogo wangu nimpendae..
Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wanguHongera sana mkuu kwa msaada uliyotoa.
Vipi bado mna mawasiliano na mdogo wake? Kwa sababu kitendo ulichofanya kilitakiwa kijenge familia.
Ndefu sijasoma tafuta audio. R.I.P by the way
Safi sana.Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wangu
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Alishakua zaidi ya ndugu,hata yeye hua ni kama haamini,hata mimi nilivishwa tu ile roho na si kwa uwezo wangu
JAH RASTAFARI MORNING AFRICA[/QUOTE
huyo mdogo wake marehem ni wa kike au wa kiume? tashkuru kama mtoa mada utanijibu kuna mengi yatafuata
Siku ya taarifa ya kifo chako... wengine hawataona kama ni ndefuNdefu sijasoma tafuta audio. R.I.P by the way
Imeniuma kama namjua vile... dahNeema pumzika kwa amani