R. I .P MZEE SALEKHE KIBA

R. I .P MZEE SALEKHE KIBA

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,712
Reaction score
1,661
Wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mambo vipi.
Nimepata mshituko mkubwa baada ya kusikia mzee wetu (babake kiba) ameiaga dunia. Nikiwa Kama binadam siwezi kujiskia vizuri ila hii imekuwa zaidi kwakuwa aliyefariki ni baba wa msanii ninaemkubali zaidi hapa nchini japo siwachukii wasanii wengine. Naombeni Pole pia SINA TIMU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You sonovakuku,mbona mwisho umeweka emoj unacheka?I hate to love the shit!
 
Wakubwa shikamoo, vijana wenzangu mambo vipi.
Nimepata mshituko mkubwa baada ya kusikia mzee wetu (babake kiba) ameiaga dunia. Nikiwa Kama binadam siwezi kujiskia vizuri ila hii imekuwa zaidi kwakuwa aliyefariki ni baba wa msanii ninaemkubali zaidi hapa nchini japo siwachukii wasanii wengine. Naombeni Pole pia SINA TIMU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo n mapenz yak mm nmetoka kumzika bib yang juz mbele wao nyuma sisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kila Nafsi itaonja UMAUTI.

Mbele yake, Nyuma yetu.

Wafiwa poleni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom