Adrian Stepp
R I P
- Jul 1, 2011
- 2,764
- 2,609
ni kweli kabisa ndugu.! Sijui anataka kuambiwa kafa kwa ajali, ukimwi, malaria sugu, kipindupindu au labda kaangukiwa na jani la mchicha.!!? Rip M.H.M
Ukijua chanzo cha kifo utamfufua? Wewe elewa tu kwamba Maulid Hamad Maulid ametutangulia mbele za haki basi, tumwombee.
Inna Li Llahi wa Inna ILlahi Rajiun.
Kiarabu, Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea!Wakuu naomba kujua hii ni lugha gani?
R.I.P maulidR.I.P Maulid!