Wanadamu tuliobaki tunaendelea kukumbushwa kifo hakina kanuni na wala hakuna ajuaye siku ya kufa. Tusidanganyikr na kudhani ni mpaka tuugue au tuwe wazee ndipo tutakufa. Hapana! Kwa kuwa kuna maisha baada ya kufa inatupasa wakati wote kujiandaa kwa maisha hayo. Kumwambia Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi hakubadilishi cho chote. Unataka kwenda peponi itakubidi ujiandae kabla umauti haujakufika. Mungu awafariji wafiwa katika hiki kipindi kigumu sana kwao.