ngosha mchele
Member
- Dec 7, 2014
- 71
- 40
Tumia akili.......mambo ya kiroba na chama yanaingianaje?Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020
Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa virobaTumia akili.......mambo ya kiroba na chama yanaingianaje?
Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020
Jiangalie usije ukapumuliwa na kushikishwa ukuta....sio kila mtu ni dadako ....oohh!!Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa viroba
Kama hauna cha kuchangia si upige kimya tu? Kwanini unajidhalilisha hivi?Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa viroba
Mkuu upo? Mwaka huu Umepata viti maalum?Kama hauna cha kuchangia si upige kimya tu? Kwanini unajidhalilisha hivi?
Dadaangu Kwan kosa langu ni lipi?Jiangalie usije ukapumuliwa na kushikishwa ukuta....sio kila mtu ni dadako ....oohh!!
New Coke "zero" in town..DB!Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020
Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020
mkuu, hapa hakuna kitu - ni siasa tu zile zile za kila siku. watu wataendelea kuvitengeneza na vitatumika tu hakuna namna!
Nikinywa au nikikutwa navyo?