R.I.P kamanda

R.I.P kamanda

RIP Kamanda. Poleni sana familia. Mungu ndie mfariji pekee kwenu
 
pole sana mkuu,Mungu akutie nguvu na kukupa faraja.
 
Pole sana mkuu,
Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
 
Pole sana ndugu tuamini kila nafsi itaonja umauti
 
R. I. P Kamanda wa mgiriki,
Na pole sana Mkuu mgiriki kwa kumpoteza Pacha wako, a.k.a Kamanda wako.
 
Last edited by a moderator:
Pole Mgirik kwa kuondokewa na pacha wako
Mungu azidi kukutia nguvu ktk kipindi hiki kigumu
RIP pacha wa mgirik
 
alikuwa ni pacha wangu. Umeniacha nikiwa bado nakuhtaji tuliishi kwa umoja na mshikamano. Wazaz walizoea kutuona tukienda kusalimia pamoja lakn leo hii umeniacha peke yang mwenzio. Najiona kama npo katkat msitu wenye giza totoro natapa tapa sijui la kufanya nahsi dunia inanizomea.......umeondoka bila hata kusema lolote kwang. Siamin kama umelala ndan ya jeneza. Sna la kusema . Mungu ailaze roho yako mhali pema pepon
Mgirik, kamanda amefariki ughaibuni au ..?
naye ni baharia kama wewe?
Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom