R.I.P kamanda

R.I.P kamanda

Pole sana Kamanda. Mungu ampumzishe mahala pema peponi
 
pole,,, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.... marehemu apumzike kwa amani.
 
Yale aliyokuwa akitamani ayatimize basi mtimizie. Kamanda akidondoka askari anabeba siraha na kusonga mbele kuhakikisha mission is being accomplished by the rest.
Pole sana mkuu
 
Pole sana, Mwenyezi Mungu akupe subra katika kipindi hiki kigumu kwako. Ametangulia nasi tutafuatia.
 
Huyo kamanda wako ni watu wote humu JF wanamfahamu? Achana na incomplete thread mkuu. Ni vema utaje ni nani huyo maana makamanda ni general, wanaweza wakawa wamefariki zaidi ya mmoja. Je kesho na kesho kutwa mtu akisoma ataelewa mada yako? Binafsi sijajua unazumgumzia kamanda yupi!!!
 
mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache, nae humea kama maua na kunyauka kama majani...Mungu ailaze roho ya marehemu (kamanda) mahali pema peponi.
 
Mungu awape faraja wakati huu mgumu wa msiba...
 
Pole sana ndugu.Kwakweli kila familia ina msiba wake. Tarehe ya leo kuna rafiki na ndugu yangu mpendwa katimiza miaka miwili toka alipoiaga dunia.Nikiwa busy na wadaawa ofisi mjane wake akanitumia msg jinsi anavoumia. Kwakweli nimelia mbele ya wateja.Baadae nikajulishwa na mtu kwamba huyo dada leo amelia sana akiwa ofisini.Jamani misiba inaumiza sana isikie tu kwa wengine yasikukute. Inauma sana
 
Tunawaombea wafiwa wote faraja ya pekee!
Poleni sana.
 
alikuwa ni pacha wangu. Umeniacha nikiwa bado nakuhtaji tuliishi kwa umoja na mshikamano. Wazaz walizoea kutuona tukienda kusalimia pamoja lakn leo hii umeniacha peke yang mwenzio. Najiona kama npo katkat msitu wenye giza totoro natapa tapa sijui la kufanya nahsi dunia inanizomea.......umeondoka bila hata kusema lolote kwang. Siamin kama umelala ndan ya jeneza. Sna la kusema . Mungu ailaze roho yako mhali pema pepon

Mwombe Mungu akusaidie nawe uendeko huko...kuna maisha ya milele na raha,vinginevo kama ulikuwa ni fundi wa kulenga matundu usiende, utajilaum kuwepo duniani
 
Back
Top Bottom