God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Yote namuachia Mungu.
vipi mkopo nini?Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi.
Yote namuachia Mungu.
Najua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yakeKwa uandishi huu usioeleweka bora tu umeshindwa kumalizia hiyo degree yako man's ungemaliza tukakukabidhi ofisini za umma ungekuwa ni janga kubwa sana
Hapana mkuu msomi gani huyo ambaye hajui kuelezea vitu akaelewekaNajua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yake
Typing error...manaMan's ndio nn mkuu?
Mi darasa la nne sijui kuandika vizuriMbona nawe umekosea man's ni sawa na maana? Punguza kubwabwaja
MaanaNa hiyo “mana” ndio nini.....!!??
Mkuu nasmhukuru Mungu mkopo nilipata na ulinisaidiavipi mkopo nini?
Pitia nyuzi zangu za nyuma utaona malalamiko yangu. Niko open boss huwa simezei chochote kile yakinifika lazima nikuumbue tuu.Hongera kwa kumuachia Mungu ila Mungu naye anapenda ueleze ukweli kwa jamii uoga ni dhambi
Nimepewa mkuu si busara kulaumu watu wasiostahili.Itakuwa HESLB wamemnyima mkopo. Wapo wengi tu wamepewa mikopo mwaka wa kwanza then mwaka wa pili wamenyimwa