R.I.P Brig.Gen. Hashim Mbita

daaah, RIP. hawa ndio wazee wakongwe kwenye chombo chetu, wazee wa system
 
huyu mzee kachukua namba..?!doh....dunia haiachi kitu..!
 
Mkuu kusema kweli inasikitisha sana kuona jinsi tusivyo na shukurani. The man who passed away, if he passed a way in countries where those who give all to their earn recognition, leo kila kona ya Tanzania ingekuwa ni majonzi.
 
Majonzi yalitakiwa yawe kwetu au huko kwa nchi alizozikomboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…