Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,641
Ukifika pale sahara ilemela ndo utajuwa kuwa huyu Hamas ana pesa sana na kawekeza vizur sana shida inakuja kuwa yeye ndo mwenye radio yeye ndo mkurungenz yeye ndo meneja na hata mishahara halipi
Lakin jamaa ana pesa sana sijui hata ana kwama wapi huyu mwamba wa kisukuma
Huku Songea haisikiki tena twaambiwa kuna kifaa kimeharibika na hawana kela ya replacementHii redid rfa ndio redio pekee inayofika kila kijiji cha nchi hii inazidi hata TBC redio
Ni redio inasikilizwa sana, sina takwimu sahihi ila ni redio ambayo ni miongoni mwa redio inayosikilizwa sana pengine kuliko redio yeyote nchini, ni redio inayosikilizwa na kila rika kila aina ya watu waelewa wa mambo na wale wasiojua mambo mengi
Ukipita mtaani rfa inaunguruma Je inakwama wapi kibiashara? Angalia redio changa zinasikika mkoa mmoja tu wa dar es salam zinajiendesha kwa faida lkn rfa tunaambiwa hata wafanyakazi hawapati mishahara yao (kutolipa wafanyakazi mishahara ni hatua ya mwisho kufilisika
Ndugu dialo anakwama wapi? Mimi nafahamu dialo anaukwasi wa kutosha tu kwanini asiajiri mtu atakayekuja kuendesha kampuni kwa faida!!
Kuna vijana wapo mtaani wamebobea kwenye kurun kampuni ambao ukiwapa nafasi lazima ndani ya miaka miwili uanze kuona matunda
Jifunze kwa kwa vyombo Kama IPP na clouds media ambao walikubali kufuata mtiririko wa kitaalamu kuendesha kampuni
Hiyo Sahara ukiwauzia watu wanaojua biashara ndani ya miaka mitano utaona jinsi biashara inafyofanywa
Hamas ndio Antony Diallo? Maana navyojua Diallo ndio kila kitu auUkifika pale sahara ilemela ndo utajuwa kuwa huyu Hamas ana pesa sana na kawekeza vizur sana shida inakuja kuwa yeye ndo mwenye radio yeye ndo mkurungenz yeye ndo meneja na hata mishahara halipi
Lakin jamaa ana pesa sana sijui hata ana kwama wapi huyu mwamba wa kisukuma
Kuna sehemu(wilaya) hazishiki hata station moja ya Radio-mfano sikonge mjini. hakuna hata radio inashika hukoHii redid rfa ndio redio pekee inayofika kila kijiji cha nchi hii inazidi hata TBC redio
Ni redio inasikilizwa sana, sina takwimu sahihi ila ni redio ambayo ni miongoni mwa redio inayosikilizwa sana pengine kuliko redio yeyote nchini, ni redio inayosikilizwa na kila rika kila aina ya watu waelewa wa mambo na wale wasiojua mambo mengi
Ukipita mtaani rfa inaunguruma Je inakwama wapi kibiashara? Angalia redio changa zinasikika mkoa mmoja tu wa dar es salam zinajiendesha kwa faida lkn rfa tunaambiwa hata wafanyakazi hawapati mishahara yao (kutolipa wafanyakazi mishahara ni hatua ya mwisho kufilisika
Ndugu dialo anakwama wapi? Mimi nafahamu dialo anaukwasi wa kutosha tu kwanini asiajiri mtu atakayekuja kuendesha kampuni kwa faida!!
Kuna vijana wapo mtaani wamebobea kwenye kurun kampuni ambao ukiwapa nafasi lazima ndani ya miaka miwili uanze kuona matunda
Jifunze kwa kwa vyombo Kama IPP na clouds media ambao walikubali kufuata mtiririko wa kitaalamu kuendesha kampuni
Hiyo Sahara ukiwauzia watu wanaojua biashara ndani ya miaka mitano utaona jinsi biashara inafyofanywa
Naomba facts brooWewe bwana Wambura Mtani acha kudevela kiivo ariff,umefanya utafiti wa aina gani kujua inaongoza kwa kuskilizwa?umetumia Sampling,Questionaire,Observation au Interview?Clouds FM ndo redio inayoskilizwa zaidi bongo na niya tatu kwa Africa nzima ukibisha nakuja na Evidence beyond Doubts.