Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Wanataka kuweka kumbu kumbu sawa, Ibrahim hakuwahi kuwa mwislamu. Kwanza Uislam umekuja baadae sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Kwahyo unataka kusema YESU alikuwa mkristo?

Hakuna nabii hata mmoja aliyewahi kuwa mkristo au kuvaa msalaba.

-- YESU alikuwa akiswali kwenye masinagogi
--YESU alikuwa akiswali anavua viatu
-- YESU alikuwa akiswali anasujudu.


Ni wapi YESU au nabii yeyote aliyopita ameswali kanisani?
 
Unatakiwa ufahamu hili.
Waisrael walienda utumwani Misri, hapo nazungumzia Yakobo na uzima wake. Kwa muda waliokuwa huko ardhi au nchi yao ilivamiwa na watu wengine ,wakafanya makazi, hivyo wafu wao walizikwa humo, ndiyo maana.makaburi yapo.
Sawa ni kwl kwamba wapalestina walivamia eneo la Gaza,
Iweje makaburi yawe ya kiislam?

Mbn hakuna hata kaburi moja lenye msalaba?
Kama wao ni wakristo?
 
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
Sawa, lakini sisi Watanzania na Waafrika kwa ujumla haituhusu hili.....tuna matatizo yetu ambayo hata wao Waisrael na Wapalestina hayawahusu na hata kujali. Tujifunza histora yetu na kuwa proud of our past.
 
Hujajibu swali: Je Ibrahim alikuwa muislamu?
Au kuna Edition tofauti za uislamu?
Hapo kwenye Alkaaba haukuwa msikiti bali ni jengo la kuabudia wapagani wakiabudu mizimu na kutoa sadaka za wanyama miaka mingi tu kabla ya uislamu kuanza.
Na ndani ya Alkaaba hakuna chochote zaidi ya jiwe jeusi. Alkaaba=Jiwe jeusi.
Utajiri wa Saudi Arabia ni pamoja na watalii ambao nyinyi mnaita mahujaji ambao kila mwaka sio chini ya 2M wanaoingia pale kwa ajili ya hija wanaingiza mapato kama watalii. Wakati mahujaji wanaenda kwa imani na kuchangia hela ukoo wa kifalme unafuja hela. Mtoto wa mfalme Saudi Arabia alitaka kuinunua Club ya Manchester United wakati nyinyi mnasema mpira haramu.
Swali liko pale:
Kama Ibrahim alikuwa muislam Mtume Mohammad S.A.W alianzisha nini?
Twende kwa hoja na aya za Quran.
Unauuliza Uislamu au unamuuliza mtu binafsi?
 
Hawakuwa waislam walikuwa wayahudi(Jews) dini yao Judaism.

Waislam ni kujipendekeza tu kuwaita manabii na mitume wa kiyahudi kuwa hao ni waislam.
Uislam wenyewe umekuja na Muhammad karne nyingi baada ya Ukristo ambao nao umekuja karne nyingi zaidi baada ya Uyahudi (Judaism).

Torati (Torah) haikuletwa na Muhammad bali na Mose (Moses/Mousa/Musa/Moise) ambaye hakuwa muislam kwa vile wakati huo Korani/Quran ilikuwa hajateremshiwa Muhammad.

Hadi leo hii vitabu vya dini ya Abraham(Ibrahim) na Yakobo(Israel/Yakub) vipo katika muundo ule ule na lugha Iie ile kwenye masinagogi ya kiyahudi na vitabu vya waislam vipo kwenye Quran kama wakati wa Muhammad kuonesha hizi ni dini mbili tofauti ingawa nyingine imezaliwa toka kwa nyingine.

Islam is one of the derivatives of Judaism religion, though Judaism and Islam are not one and the same.

Very irony and probably absurd when Muslims claim retrospectively that Jews were Muslims and their region was Islam.
Tuweke kumbukumbu sawa, nabii mussa amani iwe juu yake alikuja kulingania uyahudi? mafundisho ya torati ndio uislamu wa watu wa mussa, na uislamu ni kujisalimisha na watu wote waliomuamini nabii walijisalimisha kwa mola wa walimwengu wote ambaye ndiye aliyeteremsha torati, injili, zaburi na Qur'an na vitabu vingine tusivyovijua.

Tofauti ya sheria kutokana na zama na zama haibatilishi umoja wa kile walichokuja nacho mitume wote, wote walikuja kulingania watu wajisalimishe kwa mola wao aliyewaumba na wayaache masanamu na mfano wa waabudiwa wengine, hakuna mtume aliyekuja kulingania utatu mtakatifu na mfano wa hayo.

"Na tumekuteremsha kwako kitabu hiki kwa haki, kinachoyasadikisha yaliyokuwa kabla yake katika vitabu{torati, injili, zaburi n.k} na kuyahifadhi, basi hukumu baina yao kwa aliyoyateremsha Allah, wala usifuate matamanio yao ukaiacha haki iliyokujia, kila mmoja katika nyinyi tumemuwekea sharia yake na njia yake, na lau Allah angelitaka angelikufanyeni nyote kuwa umma mmoja, lakini ni kwaajili ya kukujaribuni kwa aliyokupeni, basi shindaneni kwa mambo ya kheri, ni kwa Allah pekee marejeo yenu nyote,basi atakuja kuwapeni khabari juu yale mliyokuwa mkitofautiana."

Qur'an 5:48

Sasa jambo la kuchekesha ni kusema uislamu ni part ndogo tu ya uyahudi ilihali uislamu umetangulia ardhini tangu enzi ya nabii aadam amani iwe juu yake na habari za uyahudi hazikuja isipokuwa kwenye kizazi cha yaaqub amani iwe juu yake, hapo juzi juzi tu.
 
Waislam ni wagomvi, wakorofi watu wa vita hovyo kabisa. Dini yao inafundisha kuua kuharibu yaani ni dini ya kishetani. Wenzenu wahindu, budha mbona hawako hivyo? Nchi zote zisizokuwa na amani ni za waislam pumbafu kabisa.
 
View attachment 2845656
Kilakitu ni haramu kwao huku wakitumia vitu walivyotengenezwa na wazungu
Wazungu wameendeleza uvumbuzi wa waislamu.Hivyo ulivyovionesha vyote ni milki ya Allah na ndiye aliyewaonesha njia waislamu mwanzo kabla hawajafifia.Waislamu si wachoyo wa elimu ndio maana wakawapelekea wazungu bure.
Jee unajua kuwa sayansi yote imesomeshwa ulaya kwa lugha ya kiarabu kabla makabila ya Ulaya hawajatafsriri kwa lugha zao kutoka kiarabu.Kwanini ilikuwa hivyo kwa sababu waislamu waliokuwa wakizungumza kiarabu ndio wavumbuzi
 
Wazungu wameendeleza uvumbuzi wa waislamu.Hivyo ulivyovionesha vyote ni milki ya Allah na ndiye aliyewaonesha njia waislamu mwanzo kabla hawajafifia.Waislamu si wachoyo wa elimu ndio maana wakawapelekea wazungu bure.
Jee unajua kuwa sayansi yote imesomeshwa ulaya kwa lugha ya kiarabu kabla makabila ya Ulaya hawajatafsriri kwa lugha zao kutoka kiarabu.Kwanini ilikuwa hivyo kwa sababu waislamu waliokuwa wakizungumza kiarabu ndio wavumbuzi
Duuu!!! Hii kibokooo
 
Uislamu umeanza tangu binadamu hajaumbwa.Tangu kulikuwa na mbingu na nyota pekee.Binadamu wa mwanzo nabii Adam a.s na mama Hawa walikuwa waislamu.
Hivyo nabii Mussa aliyewaongoza bani Israel alikuwa ni muislamu na ardhi yote ya Palestina ni ya waislamu na Mungu mwenyewe ndiye mjuzi na mgawaji wa maeneo yake.Hawezi kuwaidhinisha watu ambao amesema ameshawalaani.

[emoji28][emoji28][emoji28] mapungu duniani hawaishi
 
[emoji28][emoji28][emoji28] mapungu duniani hawaishi
Wengi wa walimwengu wameaminishwa kuwa wazungu ndio wenye akili na wavumbuzi.Ukweli daima haufichiki.Hao hao wazungu wamekubali historia hiyo.Lakini ukija afrika watu wanaona kama ni kitu cha ajabu na uongo kuwa waislamu ndio walimu wa wazungu.
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Mkuu Uislam hauhusiani na Palestina!
 
Changamoto ni moja nyie wagalatia mnadhani uislam ni huu mnauona wa kuvaa kanzu, uislam ni maana na maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu mmoja na kwa maana hio hata mkristo ambae anaamini kwa Mungu mmoja ambae sio Yesu nae ni mwislam na wapo wakristo ambao hawaamini Yesu kama Mungu hao hata pepo wataiona tatizo liko hapo tu.

Hao manabii wote ni waislam kwa maana ya kumuamini Mungu mmoja wa kweli alie watuma na hawakukufuru hivyo kimsingi wanaqualify kuwa waislam. Na anaye amini kingine zaidi ya Mungu wa kweli wahao manabii ni kafiri.
Hii ndio tafsiri ya Uislamu mkuu au nitafsiri ya upeo wako?
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Sasa kama walizikwa hao mitume na hii vita inayoendelea si patakuwa pashapigwa mabomu na hayo makaburi yatakuwa faded?

Sa kutakuwa na maana gani ya kusema kui treat Gaza kama museum kama hivyo vitu vya ulumbusho vishakuwa destroyed?
 
Changamoto ni moja nyie wagalatia mnadhani uislam ni huu mnauona wa kuvaa kanzu, uislam ni maana na maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu mmoja na kwa maana hio hata mkristo ambae anaamini kwa Mungu mmoja ambae sio Yesu nae ni mwislam na wapo wakristo ambao hawaamini Yesu kama Mungu hao hata pepo wataiona tatizo liko hapo tu.

Hao manabii wote ni waislam kwa maana ya kumuamini Mungu mmoja wa kweli alie watuma na hawakukufuru hivyo kimsingi wanaqualify kuwa waislam. Na anaye amini kingine zaidi ya Mungu wa kweli wahao manabii ni kafiri.
Shahada ya Muislamu unaijua?
" Ash- hadu Allah ila haila lah, Ash- ana Muhamada rasulu lah"
Ndio maana nasema hao akina Ibrahim, Suleiman, Mussa walikuwa wanashuhudia nani kwenye uislamu wao maana Muhamad hakuwepo.
Kijana acha kusimuliwa dini yako jaribu kusoma mwenyewe.
"Kama mna shaka waulizeni waliopewa kitabu kabla yenu"
Lakini nyinyi hamtaki kuuliza haya sisi tunawaangalia tu mwisho wa siku ujivike mabomu ukaue raia wasio na hatia sababu ya Jihad. Hahahaa!
 
Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe ismail na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
Samahani mkuu Mimi ni muislamu ila naomba nikurekebishe kuna makosa mengi kwenye andiko lako mkuu. halafu tunashauriwa kuandika yale ambayo tunayafahamu kiufasaha ili tusije ingia kwenye madhambi bila ya kujua.

1. Yesu/is (alayhi salaam hajafa) bali amehifadhiwa na Allah( the almighy) mpaka siku maalum na atarudi kama ishara kati ya ishara kubwa ya qiyama .

2. Kilipo kisima cha zamzam si mahali ambapo ibrahim (alayhi salaam ) alitaka kumchinja mwanaye ila ni sehemu ambayo nabii ibrahim (alayhi salaam) kwa amri ya Allah( the almighty) aliwaacha mkewe bi khajar (alayha salaam) na mwanawe ismail (alayhi salaam).
 
Back
Top Bottom