Atakuwa vipi Muislamu bila kufuata misingi na kanuni ya uislamu??Mtu yoyote duniani anazaliwa akiwa muislam
Sasa zilitoka wapi?? Jaribu kutumia akili kidogo.Hizo nguzo ulizo zitaja hapo,
hata kabla mtume hajapewa utume hazikuwepo.
Tupe ushahidi wa aya kuhusu utaratibu wa ibada wa Adam.kiufupi kila Nabii alikuwa anapewa utaratibu wake wa ibada huu ulioutaja ni wa Muhammad (s,a,w) sio wa Adam.
Zilitoka kwa Allah. Kupitia malaika wake JibrilAtakuwa vipi Muislamu bila kufuata misingi na kanuni ya uislamu??
Who is a Muslim
Who is a Muslim
Discover the essence of being a Muslim, defined as one who submits to the will of God. The core tenet of Islam is the Shahaadah, affirming the oneness of Allah and the prophethood of Muhammad. A Muslim embodies virtues such as truthfulness, humility, and compassion, striving for a balanced...www.islamweb.net
Sasa zilitoka wapi?? Jaribu kutumia akili kidogo.
Sidhani kama hata unaelewa sayansi ni nini.Qur an ni kitabu kinacho elezea mambo yote ya sayansi kabla ya wavumbuzi kuzaliwa na ndio maisha tunayo ishi hasa kwanini tusiamini.
Swali: Kama imetaja sayansi na teknolojia mbona hakuna nchi za kiislamu zilizoendelea?? Katika hizo karne zote za kuisoma walishindwa kuielewa??Hakuna kisicho zungumziwa
Samahani, hapa hakuna utaratibu wa ibada.Zaidi kuna maelezo kuhusu kuumbwa mpaka kuasi na kuomba msamaha.Kuomba msamaha ndiyo utaratibu wa ibada??Qur an 2: 29-37 Surat Al baqar
Swali: Unaweza kuutenganisha uislamu na utamaduni wa kiarabu??Panic bila hoja za mantik
Jua linazama kwenye matope meusi. Je, ni kweli?Zilitoka kwa Allah. Kupitia malaika wake Jibril
Kama bi Marian alivyo fatwa na Malaika kupewa khabari za ujauzito wake,
Kama ni hivyo, kwanini waislamu wapo nyuma sana kiteknolojia? Mpaka sasa hakuna hata nchi ya kiislamu inayotengeneza simu.Tunachokosea ni kutaka kuprove science kutoka katika Quran, Quran ni kitabu Cha waumini sio Cha kulinganisha au kupiganisha na vingine kinajitegemea chenyewe hakihitaji hayo. Kingine hio science na elimu zote chanzo chake ni Mwenyezi Mungu ndio alimfundisha binadamu na viumbe vinginevyo vyote kwahio UNASEMA Quran ni ya Mwenyezi Mungu na science pia ni yake kilichofanyika katika Quran ni kutoa ishara TU na kumuhabarisha binadamu kuwa mfanyaji wa tunayoyaona yupo
Maana ya uislam kilughaSwali: Unaweza kuutenganisha uislamu na utamaduni wa kiarabu??
Waislam kuwa nyuma kiteknolojia haimanishi hio teknolojia chanzo chake si Mwenyezi Mungu, yeye ndio tunaamini ndio chanzo Cha elimu aliwafundisha binadamu na binadamu wote wa kwake awe Mzungu au mhindi, halafu Uislam sio lazima uwe nchi ya kiarabu Kuna waarabu wengi tu sio waislam Uislam unajitegemea Hata mhindi anaweza kua muislam na akanfanya makubwa sio lazima ucode Kwa kiarabu kuonyesha Uislam.Kama ni hivyo, kwanini waislamu wapo nyuma sana kiteknolojia? Mpaka sasa hakuna hata nchi ya kiislamu inayotengeneza simu.
Je, unaweza kufanya coding kwa kutumia lugha ya kiarabu?
Mtume alikuwa kabila gani ,hilo kabila lina vinasaba vipi??Waarab ni watu
Quran imetumia lugha ipi??lugha mama yao ni kiarab
Utamaduni wa kula,kuvaa,kuwa na wake wengi n.k ulikuwa sehemu yao (waarabu), kwenye uislamu hivyo vitu havipo??Wanaweza fata utamaduni
Sasa misiri ya kina firaun imejenga pyramid mwaka ambaoo hata babu wa Muhammad hajazaliwaThibitisha
Uislamu umeazia wap kakaWaislam kuwa nyuma kiteknolojia haimanishi hio teknolojia chanzo chake si Mwenyezi Mungu, yeye ndio tunaamini ndio chanzo Cha elimu aliwafundisha binadamu na binadamu wote wa kwake awe Mzungu au mhindi, halafu Uislam sio lazima uwe nchi ya kiarabu Kuna waarabu wengi tu sio waislam Uislam unajitegemea Hata mhindi anaweza kua muislam na akanfanya makubwa sio lazima ucode Kwa kiarabu kuonyesha Uislam.
Ulianza na nabii Adam, wewe unasema je?Uislamu umeazia wap kaka
Tuwe serious wajomba hivi unaanzaje kuiamini qu'ran