rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,445 Apr 2, 2012 #1 Wakuu naomba kama kuna wataalam wa fiber hapa,nahitaji quotation for testing,spicing,and laying fiber cable per miter,kuna mtu ana idea hapa??
Wakuu naomba kama kuna wataalam wa fiber hapa,nahitaji quotation for testing,spicing,and laying fiber cable per miter,kuna mtu ana idea hapa??
Loyal_Merchant JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 623 Reaction score 268 Apr 2, 2012 #2 haujaeleweka vizuri ni nini unahitaji haswa katika swali lako. unahitaji kanuni, ni jinsi gani zinafanya kazi au ni kitu gani wahitaji haswa.
haujaeleweka vizuri ni nini unahitaji haswa katika swali lako. unahitaji kanuni, ni jinsi gani zinafanya kazi au ni kitu gani wahitaji haswa.