The best way to improve your english is to write texts and to speak the language. Hata kama ni mistari mitano andika.
Kuandika na kuongea ni vitu muhimu sana.
Niliacha kuandika huko quora miaka 2 iliopita, juzi nimefanya test/ online interview moja ya kingereza kwa kujiamini kuwa najua, nimefeli vibaya mpaka nikajishangaa. CS sijawahi pata chini ya B, nimehemka kisa siitumii hio lugha muda mrefu,siongei, siandiki.
Kutoandika inashusha sana CS yako.
Inabidi tuandike tuongee, tujadili maana kuna siku unapata interview ya ghafla halafu unachemka kwa sababu huna maandalizi yoyote.
Kuwa competent muda wote ni kuitimia lugha hasa kama bado wewe ni under 45 na una ndoto nyingi kwani lugha ndio kiunganishi chetu.