Kwa jinsi ninavyoweza kuliongelea hilo neno (Quid Pro Quo), moja kwa moja lazima nihusishe consideration hapa. Mkataba lazima uwe enforced by law. Nikikupa gari yangu mimi mwenyewe kwa kupenda kwangu, then nikaamua kulichukua kwa nguvu kwamba nimeghairi kukupa, huo si mkataba na wala haiwezi kuwa enforced by laws.
Nothing goes for nothing, ina positive effect kwasababu, mkiingia mkataba, ni lazima kila mmoja atoe kitu kwaajili ya kufanya exchange. l give you my house, you give me money.
Nikibreach contract, ina maana utakua umepata loss ambayo itakufanya uwe na nguvu ya kusema "ameninyang'anya haki yangu" tofauti na gari ya bure, nitakapoghairi, unaweza kusimama na confidence zote kusema ilikua ni haki yako?
So kwenye mkataba wowote, lazima kuwe na Quid pro Quo.